https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    PICHA ZA WAKALA MENDES NA DE GEA WAKIWA MANCHESTER WA AJILI YA MKATABA MPYA

    2C28870600000578-3229396-image-m-3_1441908130655
    Wiki chache zilizopita ilibidi wakala huyu afanye makeke ili mkataba usainiwe na De Gea ajiunge na Real Madrid. Lakini kutokana na kile ambacho hakuna hata club moja inakubali ni kosa lake, hadi sasa De Gea ni mchezaji wa Manchester united na uhamisho ulifeli.
    Chochote kilichotokea sio kosa la mchezaji, De Gea inabidi aendelee kucheza kama kawaida. Sasa hivi wakala huyu yupo Manchester na amepigwa picha akiwa karibu kabisa na viwanja vya Manchester united kwa ajili ya kukamilisha mkataba mpya wa De Gea na Manchester United.
    Ripoti zinasema kwamba kila kitu kimeshajulikana,mchezaji na timu wamesharidhiana kwa ajili ya mkataba huo. Muda wowote wanaweza kudondoka wino kwenye makaratasi na maisha ndani ya jezi nyekundu yakaendelea.
    2C28870E00000578-3229396-image-a-1_1441908103552
    2C260E5300000578-0-image-a-1_1441892872692
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: PICHA ZA WAKALA MENDES NA DE GEA WAKIWA MANCHESTER WA AJILI YA MKATABA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top