
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono waamini wa Kanisa Katoliki Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato
mkoani Geita hawapo pichani mara baada ya kushiriki Ibada katika kanisa
hilo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe
Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mchungaji wa Kanisa la Anglikana
Chato Zacharia Samson mara baada ya kuwasili katika kanisa hilo la
Anglikana Chato Mkoani Geita.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo
wa Amani pamoja na Kwaya ya Kanisa la African Inland Church la Chato
Mkoani Geita mara baada ya kuwasili katika kanisa hilo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke
wake Mama Janeth Magufuli wakisali katika ibada ya Jumapili katika
Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato mkoani Geita.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
waamini wa kanisa Katoliki wa Parokia ya Chato mara baada ya Ibada
katika kanisa hilo Chato Mkoani Geita.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihamasisha
mchango wa ujenzi wa Kanisa jipya la la Bikira Maria Parokia ya Chato
mkoani Geita.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Padre wa Kanisa la Bikira Maria Parokia ya Chato Henry Mulinganisa mara
baada ya kushiriki Ibada katika Kanisa hilo.
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana na na Padre wa Kanisa la Bikira
Maria Parokia ya Chato Henry Mulinganisa mara baada ya kuwasili kwenye
kanisa hilo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia
Mwalimu wake wa zamani wa Shule ya Msingi Chato Mkoani GeitaMwalimu Mkuu
Mstaafu Jackson Nyamwaga mara baada ya kumuona wakati akitoka katika
Kanisa la African Inland Church la Chato Mkoani Geita.
Shekhe wa
Bakwata Wilaya ya Chato Hassan Issa Mnubi akiongoza dua ya Kumuombea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja
na Mkewe Mama Janeth Magufuli nje ya Msikiti wa Omar Bin-L-Khattab Chato
Mkoani Geita. PICHA NA IKULU














0 comments:
Post a Comment