Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa
la Uzima na Ufufuo katika hafla ya harusi ya Naibu Waziri wa Sheria na
Katiba Amon Mpanju na mkewe Analises iliyofanyiak kwenye ukumbi wa jeshi
wa Lugalo jijini Dar es salaam Agosti 6, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Amon Mpanju akilishwa keki
na mkewe , Analises katika tafrija ya harusi yao iliyofanyika kwenye
ukumbi wa Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam Agosti 6, 2016. Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa na mkewe Mary walihudhuria katika tafrija hiyo (Picha
na Ofisiya Waziri Mkuu).
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Sheria na Katiba, Amon Mpanju akimlisha keki
mkewe , Analises katika tafrija ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi
wa Jeshi Lugalo jijini Dar es salaam Agosti 6, 2016. Waziri Mkuu,
Kassim Majaliwa na mkewe Mary Walihudhuria katika tafrija hiyo.


0 comments:
Post a Comment