https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    IBRAHIM MASOUD 'MAESTRO' NAYE NDANI YA EFM 93.7




     http://api.ning.com/files/kwvKg1TQ8fX4ovBycl47FuW4W9F6eii9aRGAUaRJM-1pHm777dAaAQhrguI1sxs-RiGU9cJwP8984osJmTmxKGtglbIFN7sd/maestro.jpg

    Maestro (kushoto) akitambulishwa rasmi na Mkuu wa kipindi cha michezo cha E. sports cha EFM 93.7 na Maulid Baraka Kitenge leo.

    ALIYEKUWA Mtangazaji wa vipindi vya Michezo wa radio Clouds Dar es Salaam, Ibrahim Masoud 'Maestro' leo amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Kituo maarufu hivi sasa cha radio hapa jijini Dar es Salaam cha EFM 93.7.
    Maestro ameungana na magwiji wengine katika utangazaji wa vipindi vya michezo nchini wakiwemo Maulid Kitenge na Omary Katanga ambao wapo katika radio hiyo inayokuja kwa kasi jijini.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: IBRAHIM MASOUD 'MAESTRO' NAYE NDANI YA EFM 93.7 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top