Habari zilizotufikia Punde:Jeshi la polisi limetumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa chama cha wananchi CUF waliokuwa wakiandamana kwa ajili ya kukumbuka mauaji ya wenzao huko Pemba yaliyotokea mwaka 2001, Ambapo mwenyekiti wake Profesa Ibrahimu Lipumba nimiongoni watu waliokubwa na kadhia hiyo ya kupigwa mabomu ya machozi eneo la Temeke jijini Dar es Salaam.Kwa habari zaidi Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina.
CHANZO: ITV TANZANIA