Wanajulikana kwa majina ya Ganga
pamoja na Jamuna Mondal wakiwa na umri wa miaka 45 waliongana wakiwa ni raia wa
nchi ya India walizaliwa mapacha,lakini cha ajabu ni kwamba wanashare bwana
mmoja kutoka na na tatizo lao la kuungana kwa viungo vyao wakiwa na mikono
minne na miguu mitatu wakijulikana zaidi kama Spiders Sister katika sehemu
wanapo
aishi,ndugu hao wanasemawalikaa kwa muda zaidi ya miaka saba bila ya
kupata marafiki wakiwa shuleni
Ndugu hao wansema baada ya kukaa kwa
muda mrefu walipata mchumba ambaye mpaka sasa ndio mume wao anajulikana kwa
jina Ahmad ambaye ana umri wa miaka 36.Mapacha hawa wanesema toka waanzishe
mahusiano na kijana huyu imekuwa faraja kwao kutokana wamepata chaguo sahihi la
mtu anayepanda kwa upendo wa hali juu bila ya kujali hali zao hizi ni baadhi ya
picha wakiwa pamoja na mpenzi wao Ahmad.