Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao lao la tano dhidi ya
Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 5-2.
Mshambuliaji wa Azam FC, Salum Abubakar akimiliki mpira.
Frank Domayo (shoto) akichuana na beki wa Kagera Sugar, Mussa Nampaka.
Wachezaji wa Azam FC wakishangilia bao la kwanza la timu hiyo.
Kipre Tchetche akimiliki mpira.
Frank Domayo akishangilia bao lake.
Kipa wa Mtibwa Sugar, Said Mohamed akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Item Reviewed: Azam FC yaitesa Mtibwa Sugar yaichapa 5-2
Rating: 5
Reviewed By: Unknown

