Presenta wa Kipindi cha
Nyumbani ni Nyumbani katika Kituo cha Runinga cha C2C cha jijini Dar es
Salaam, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunt Lulu’ (pichani) amewashangaza watu
baada ya kukaa vibaya huku akiacha wazi maungo yake nyeti.
Tukio hilo lililoshuhudiwa
na Paparazi wetu lilijiri ndani ya ‘kiwanja’ cha starehe cha Billicanas
kilichopo Posta, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Katika tukio hilo, kachero
wetu alimshuhudia Aunt Lulu akiwa hana tone la aibu usoni huku baadhi ya
watu wakiponda kivazi alichotinga ambacho mbali na kumwacha uchi kwa
asilimia kubwa lakini pia kilimchora akiwa hana hata ‘kufuli’.
“Hiyo , naamini kabisa ni
mwisho wa dunia kwa staili hii, wewe angalia msichana kama yule
anatembea uchi na mbaya zaidi hana nguo ya ndani,” alisikika mrembo
mmoja aliyemwona Aunt Lulu ukumbini humo.
Kama kawa kama dawa, Risasi
Mchanganyiko ‘lilimtaiti’ Aunt Lulu na kumhoji kulikoni kukaa uchi
ambapo alikuwa na haya ya kusema:
“Siko hapa kwa ajili ya kujibu maswali, niko kistarehe zaidi.”