Home > Untagged POGBA AONDOKA ITALIA NA KUSAINI CRAWLEY TOWN KWA MUDA POGBA AONDOKA ITALIA NA KUSAINI CRAWLEY TOWN KWA MUDA Mathias Pogba akiwa ameshika jezi ya timu ya Crawley Town baada ya kusaini Mkataba wa muda mfupi akitokea klabu ya Serie B, Pescara ya Italia Mathias ni kaka wa Paul, pichani ambaye kwa sasa anachezea Juventus ya Serie A, Italia pia- mmoja wa viungo bora duniani 00:32:00