WAZIRI pia Mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo katika Ubalozi wa Japan hapa
Nchini, Kazuyoshi Matsunaga akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa
TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi
wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati
miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam
leo. Pamoja nao ni ni Kaimu Niabu Mkurugenzi Mtendaji, Mhandisi Sophia
mgonja.
Meneja Mawasiliano wa TANESCO, Leila Mhaji akibadilishana mawazo na
wasaidizi wake wakati wa mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam leo.
(juu na chini)MKURUGENZI Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm
Mramba akiongea na wadau wa maendeleo kutoka Japan wakati wa mkutano na
waandishi wa kuzungumzia maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati
miundombinu ya umeme hapa nchini. Mkutano huo ulifanyika Dar es Salaam
leo.
MWAKILISHI Mkazi wa Shirika la JICA nchini Tanzania, Onishi Yasunora
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi
Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na waandishi wa kuzungumzia
maendeleo ya miradi ya kuboresha na kukarabati miundombinu ya umeme hapa
nchini. Mkutno huo ulifanyika Dar es Salaam leo. Pamoja nao ni Waziri
pia mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo Kwenye Ubalozi wa Japan hapa Nchini,
Kazuyoshi Matsunaga.