MTOTO aitwaye Badru Muhidin mwenye umri wa miaka
miwili, amepata pigo kubwa baada ya kukatwa uume wake kimakosa na babu
yake aliyekuwa amempeleka kutahiriwa kienyeji huko Mbagala jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mama mzazi wa mtoto huyo, Mwajuma Hussein ambaye ni
mkazi wa Yombo jijini Dar, alisema aliishi na mwanaye peke yake bila baba yake kwani walitengana Juni mwaka jana baada ya kuishi bila kufunga ndoa kwa muda mrefu, lakini mara kwa mara alikuwa akimpeleka mwanaye nyumbani kwa wazazi wa mumewe kuwasalimia.
“Wiki iliyopita babu yake Eliyasa alimuomba ili wakakae naye kwa muda mfupi, baada ya muda mfupi walimtuma mtu akaniambia kuwa wameshamtahiri, nilishangaa sana kwa kuwa hawakunitaarifu juu ya uamuzi huo, nikaenda kumuona lakini wakawa wananikataza kumtazama sehemu za siri wakidai mila zao haziruhusu kwa kipindi cha mwezi mzima.

Alisema baada ya kumkuta katika hali hiyo, alianza kuhangaika naye hospitalini kutafuta msaada, alipofika Temeke aliambiwa na madaktari.kwamba kijana wake alikatwa vibaya na hivyo analazimika kufanyiwa upasuaji ili kumnusuru.
“Madaktari
watatu walimuangalia na kwa kuogopa kumuathiri zaidi, waliniambia
niende Muhimbili, nimeumia sana, nahofia mwanangu akija kuwa mtu mzima
atakuwa goigoi tu, asije akawa shoga baada ya kukata tamaa kwa hali
iliyomtokea, japo wanasema kwa kuwa bado mdogo huenda ile sehemu ya
ngozi itaota lakini ndiyo maumbile yake yatakuwa na jeraha, hatokuwa
kama wanaume wengine.”
Babu wa mtoto huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kufunguliwa shauri katika Kituo cha Polisi Mbagala Kizuiani kwa madai ya ukatili kwa faili namba UKATILI WA
Mama mzazi wa mtoto huyo, Mwajuma Hussein ambaye ni
mkazi wa Yombo jijini Dar, alisema aliishi na mwanaye peke yake bila baba yake kwani walitengana Juni mwaka jana baada ya kuishi bila kufunga ndoa kwa muda mrefu, lakini mara kwa mara alikuwa akimpeleka mwanaye nyumbani kwa wazazi wa mumewe kuwasalimia.
“Wiki iliyopita babu yake Eliyasa alimuomba ili wakakae naye kwa muda mfupi, baada ya muda mfupi walimtuma mtu akaniambia kuwa wameshamtahiri, nilishangaa sana kwa kuwa hawakunitaarifu juu ya uamuzi huo, nikaenda kumuona lakini wakawa wananikataza kumtazama sehemu za siri wakidai mila zao haziruhusu kwa kipindi cha mwezi mzima.
Mtuhimiwa (mwenye fulana nyeupe) akiingia kituoni.
“Kutokana na shauku ya kutaka kuthibitisha hilo, siku hiyo nilipofika
tu nilimchukua na kumtazama hilo eneo ndipo nikabaini kuwa alikuwa
amekatwa katika kichwa, huenda huyo ngariba hakuwa mzoefu, kamfanyia
kienyeji lakini wengine wakisema huenda walitaka kufanya mambo ya
kishirikina,” alisema mama huyo.Alisema baada ya kumkuta katika hali hiyo, alianza kuhangaika naye hospitalini kutafuta msaada, alipofika Temeke aliambiwa na madaktari.kwamba kijana wake alikatwa vibaya na hivyo analazimika kufanyiwa upasuaji ili kumnusuru.
Babu wa mtoto huyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kufunguliwa shauri katika Kituo cha Polisi Mbagala Kizuiani kwa madai ya ukatili kwa faili namba UKATILI WA