Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrin akiongozwa na
mkufunzi katika Chuo Kikuu Kishiriki cha kumbukumbu ya Stephano
Moshi,Gasper Mpehongwa kutembelea vyumba vya madarasa ambavyo vinatumika
kwa ajili ya masomo pamoja na mitihanikatika eneo la TBL mjini
Moshi.Eneo hilo limetolewa na TBL kwa chuo hicho ikiwa ni kurudisha
sehemu ya faida inayopatikana kwa wananchi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrin akiwa ameambatana na
mkuu wa chuo Kikuu Kishiriki cha kumbukumbu ya Stephano Moshi,Profesa
Anord Temu,wakati akitembelea majengo ya jengo hilo mjini Moshi.
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrinakizungumza wakati wa
mkutano wake na waaandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza kwa
ziara ya kutembelea kiwanda cha kimea cha Moshi nachuo kikuu kishiriki
cha kumbukumbu ya Stephano Moshi,
Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL,Roberto Jarrinakizungumza wakati wa
mkutano wake na waaandishi wa habari muda mfupi kabla ya kuanza kwa
ziara ya kutembelea kiwanda cha kimea cha Moshi na chuo kikuu kishiriki
cha kumbukumbu ya Stephano Moshi,
Meneja
Udhamini wa kampuni ya Bia Tanzania,(TBL), George Kavishe akizungumza
na wanahabari (hawako pichani) juu ya msimu wa 14 wa mbio za kimataifa
za Kilimanjaro Marathoni 2015 zilizofanyika mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi
mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jarrin akiwa ameongozana
na viongozi wengine wa TBL kutembelea kiwanda cha kutengenezea Kimea kwa
ajili ya kutayarisha Bia kilichopo Moshi mkoani Kilimanjaro.
Baadhi
ya viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzimkuu wa
TBL ,Roberto Jarrin muda mfupi mara baada ya kutembelea kiwanda cha
kuzalisha Kimea cha Mjini Moshi,
Mkurugenzi
mkuu wa kampuni ya Bia Tanzania ,TBL ,Roberto Jarrin,akizungumza jambo
na Mkuu wa Chuo Kikuu kishirki cha kumbukumbu ya Stephano Moshi
(SMMUCO), Anord Temu (kushoto) wakati alipofanya ziara kutembelea Chuo
hicho ambacho eneo pamoja na majengo yanayomilikiwa na TBL yametolewa
kwa chuo hicho.