https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    RAIS KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI


    Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Sehemu Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakifatilia Hotuba ya Rais Kikwete.
    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi leo.
    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki muda mfupi baada ya kuwahutubia mjini Bujumbura Burundi leo(picha na Freddy Maro)
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: RAIS KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top