https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SOMA ALICHO KIANDIKA ZITTO KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK

    Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Zubery kabwe Leo Alikutana na Wazee wa Jimbo Lake na Kutoa Maamuzi magumu mbele ya wazee hao kama hatogombea tena Ubunge kwenye jimbo hilo alilolitumikia kwa muongo moja (miaka 10) huku wazee wakimbariki achukue maamuzi  yanayofaa kulingana na hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa.
    Katika page yake ya facebook amepost ujumbe huu kama unavyosomeka hapa chini
    "Leo nimekutana na wazee wa jimbo la kigoma kaskazini na wawakilishi wa vijiji vyote 45, nimewaaga rasmi kuwa sitagombea ubunge jimbo hilo"
    Aliendelea kupost kwenye page yake kama 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: SOMA ALICHO KIANDIKA ZITTO KWENYE UKURASA WAKE WA FACEBOOK Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top