Mratibu
wa Mradi wa Macho kwa shule za msingi kupitia mradi wa afya ya macho
kwa mtoto unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered (Seeing is
Believing) kutoka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision
Institute Violeth Shirima (kushoto) akimkabidhi msaada wa sanduku la
vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 48 Muuguzi Msaidizi
wa Huduma za Macho wa Hospitali ya Wilaya ya Kyela, Monica Francis
(kulia) wakati wa hafla iliyofanyika katika hospitali ya mkoa wa Mbeya.
Wanafunzi wa shule za msingi za halmashauri za Mbozi, Ileje , Kyela
watanufaika na msaada huo wa kutibiwa magonjwa ya macho bure.
Wanaoshuhudia: wa pili kutoka kulia ni Kaimu Afisa Elimu wa Wilaya ya
Kyela, Kassim Mtili na Mratibu wa Huduma za Macho Mashuleni, Leah
Mwakakapala.
Kaimu
Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, Constantine Mushi akikabidhiwa msaada wa
mashine ya Kompyuta inayopima macho (Autorefractor) na Mratibu wa
Huduma za Macho kwa watoto wa shule za msingi kupitia mradi wa Afya ya
Macho kwa Mtoto (Seeing is Believing) unaofadhiliwa na benki ya
Standard Chartered, Violeth Mushi , wakati wa hafla iliyofanyika katika
hospitali ya Mkoa wa Mbeya. Jumla ya vifaa vvyenye thamani ya shilingi
milioni 48 vilikabidhiwa kwa hospitali za wilaya za Mbozi, Ileje na
Kyela.
Kaimu
Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya, Constantine Mushi akikabidhiwa msaada wa
sanduku la vifaa vya macho na Mratibu wa Huduma za Macho kwa watoto
wa shule za msingi kupitia mradi wa Afya ya Macho kwa Mtoto (Seeing is
Believing) unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered, Violeth leth
Mushi ,wakati wa hafla iliyofanyika katika hospitali ya mkoa wa Mbeya.
Jumla ya vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 48 vilikabidhiwa kwa
hospitali za wilaya za Mbozi, Ileje na Kyela. Mradi huo utawanaufaisha
wanafunzi wa wilaya hizo kwa kupata matibabu bure pamaoja na miwani
mara baada ya kugundulika kama wanamatatizo ya macho ili weweze kusoma
vizuri.
Mratibu
wa Taifa wa Huduma za Macho, Dkt.Nkundwe Mwakyusa (kushoto)
akiwaelekeza wataalamu wa macho kutoka katika hospitali ya Wilaya ya
Kyela jinsi ya kutumia vipimo vya macho mara baada ya kukabidiwa
msaada wa vifaa hiyo vyenye thamani ya shilingi milioni 48. Kulia ni
Muuguzi Msaidizi wa hospitali hiyo Monica Francis, Kaimu Afisa Elimu
Wilaya Kassim Mtili na Mratibu wa Huduma za Macho Mashuleni wa Wilaya
Leah Mwakapala, mradi huo umefadhiliwa na benki ya Standard Chartered
kwa wilaya za mkoa wa Mbeya na Mwanza. Wa pili kutoka kushoto ni Mratibu
wa Macho Mashuleni toka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden
Vision Institute, Violeth Shirima.
Mwalimu
wa shule ya msingi Itete iliyopo katika kijiji cha Mlowo Wilaya ya
Mbozi, Katalina Mwilyugule akiwafundisha wanafunzi wa darasa la Nne
somo la Hesabu huku wote wakiwa wamekaa kwenye madawati, shule hii ni
moja ya shule zinazonufaika na mradi wa Afya ya Macho kwa Mtoto
unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered ,ambapo wanafuzi wa shule
hiyo wanapata huduma ya kupima macho na matibabu bure ili waweze kusoma
vizuri.shirika lisilo la kiserikali lilitoa msaada wa vifaa vya macho
kwa watoto kwa wilaya za Mbozi, Ileje naKyela vyenye thamani ya shilingi
milioni 48.
Shirika
lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute kupitia mradi wa
Afya ya Macho Mashuleni (Seeing is Believing) unaofadhiliwa na benki ya
Standard Chartered limekabidhi msaada wa vifaa vya macho vyenye
thamani ya shilingi milioni 48, kwa hospitali za wilaya za Mbozi,Ileje
na Kyela zote za mkoa wa Mbeya ambapo msaada huo utawanafaisha
wanafunzi kwa kupata huduma ya kupima na kutibiwa bure.
Mratibu
wa Taifa wa Huduma za Macho, Dkt.Nkundwe Mwakyusa (katikati) akisistiza
jambo wakati alipokuwa akiongea na wataalamu wa macho kutoka katika
wilaya za Kyela ,Ileje,na Mbozi (hawapo pichani) wakati wa hafla ya
kukabidhiwa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni
48, vilivyotolewa na Shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden
Vision Institute kupitia mradi wa Afya ya Macho Mashuleni (Seeing is
Believing) unaofadhiliwa na benki ya Standard Chartered kwenye hospitali
za wilaya hizo za mkoa wa Mbeya. Kulia ni Kaimu Katibu Tawala Mkoa,
Constantine Mushi na Mratibu wa mradi huo Violeth Shirima.
Mratibu
wa Huduma za Macho mkoa wa Mbeya, Dkt.Faraji Killewa (kulia) akisoma
takwimu za magonjwa ya macho kwa watoto wa mkoa huo, wakati wa hafla ya
kukabidhiwa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni 48, kwa
ajili ya hospitali za wilaya za Ileje,Mbozi, na Kyela iliyofanyika
katika hospitali hiyo. Wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa huo Dkt.
Seif Mhina, Kaimu Katibu Tawala Mkoa Constantine Mushi, Mratibu wa
Taifa wa Huduma za Macho Dkt.Nkundwe Mwakyusa na Mratibu wa mradi huo
Violeth Shirima. Mradi huo umefadhiliwa na benki ya standard Chartered
kwa mikoa ya Mbeya na Mwanza.
Kaimu
Katibu Tawala Mkoa Constantine Mushi, akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi
Wilaya ya Mbozi mkoani Mbeya, Elisey Nngoi mashine ya komputa ya kupima
macho, wakati wa hafla ya kukabidhiwa vifaa vya macho vyenye thamani ya
shilingi 48 kwa ajili ya Hospitali za wilaya za Ileje, Mbozi, na Kyela.
Mradi huo umefadhiliwa na Benki ya Standard Chartered kupitia shirika
lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute kwa ajili ya
kutoa huduma za macho kwa watoto wa shule za msingi,huduma hiyo
itawawezesha watoto hao kupata matibabu bure ya macho pindi
wanapogundulika. Kulia ni mratibu wa maradi huo Violeth Shirima.
Mratibu
wa Mradi wa Huduma za Macho Shule za Msingi unaofadhiliwa na benki ya
Standard Chartered (Seeing is Believing) kutoka shirika lisilo la
kiserikali la Brien Holden Vision Instutite, Violeth Shirima (kulia)
akimkabidhi msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi milioni
48 Muuguzi Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya Wilaya ya
Kyela, Monica Francis (wa tatu toka kushoto) wakati wa hafla
iliyofanyika katika hospitali ya mkoa wa Mbeya. Wanafunzi wa shule za
msingi za halmashauri za Mbozi, Ileje na Kyela watanufaika na msaada
huo wa kutibiwa magonjwa ya macho bure.
Mratibu
wa Mradi wa Huduma za Macho Shule za Msingi unaofadhiliwa na benki ya
Standard Chareterd (Seeing is Believing) kutoka shirika lisilo la
kiserikali la Brien Holden Vision Institute, Violeth Shirima (kulia)
akimuonyesha Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya miwani inayotengenezwa
na shirika lake kwa ajili ya kuwagawia watoto mashuleni wakati wa
hafla ya kukabidhi msaada wavifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi
milioni 48 kwa hospitali za wilaya za Mbozi, Ileje na Kyela zote za
Mkoani Mbeya.
Mratibu
wa Mradi wa Huduma za Macho Shule za Msingi unaofadhiliwa na benki ya
Standard Chartered (Seeing is Believing) kutoka shirika lisilo la
kiserikali la Brien Holden Vision Institute, Violeth Shirima (kulia)
akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya macho vyenye thamani ya
shilingi milioni 48 Muuguzi Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya
Wilaya ya Kyela, Monica Francis (kulia) wakati wa hafla iliyofanyika
katika hospitali ya mkoa wa Mbeya ambapo wanafunzi wa shule za msingi za
Halmashauri za Mbozi, Ileje na Kyela watanufaika na msaada wa kupima
macho na kutibiwa magonjwa ya macho bure.
Kaimu
Afisa Elimu wa Wilaya ya Kyela Kassim Mtili (kulia), Mratibu wa Huduma
za Afya Mashuleni wa wilaya hiyo, Leah Mwakapala (katikati) na Muuguzi
Msaidizi wa Huduma za Macho wa Hospitali ya Wilaya ya Kyela, Monica
Francis wakikagua mashine ya komputa ya kupima macho mara baada ya
kukabidhiwa msaada wa vifaa vya macho vyenye thamani ya shilingi
milioni 48 na Mratibu wa Mradi wa Huduma za Macho Shule za Msingi
unaofadhiliwa na benki ya Standard Chareterd (Seeing is Believing)
kutoka shirika lisilo la kiserikali la Brien Holden Vision Institute
Violeth Shirima (kulia) wakati wa hafla iliyofanyika katika hospitali ya
mkoa wa Mbeya.





