MKUU WA MKOA WA DAR AHUDHURIA SHINDANO LA SHINDA NDINGA LA E FM RADIO
Washiriki wa shindano la shinda ndinga na redio Efm 93.7 wakiendelea na mashindano.
Wafanyakazi
wa redio Efm pamoja na watoaji huduma ya kwanza wakimpepea mshiriki
aliyedondoka baada kushindwa kusimama kwa muda wa saa moja.
Watangazaji wa redio Efm Swebe Santana (kushoto) na mwenzie.
Wafanyakazi
wa redio Efm, Afisa masoko Ramadhani Omary (kushoto), Mkuu wa Kitengo
cha Mawasiliano, Denis Sebo (katikati) na Naibu Meya wa Manispaa ya
Temeke, Juma Rajabu (kulia).
Washiriki wa shinda ndinga na redio Efm wakinyoosha viungo baada ya kusimama kwa muda uliopangwa.
Moja ya gari linaloshindaniwa.Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Paul Makonda na Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke, Juma Rajabu (kulia).Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sadick Mek Sadiki, (wa pili kushoto) na Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Mh. Paul Makonda, Afisa masoko wa redio Efm,
Ramadhani Omary pamoja na Naibu Meya wa Temeke, Juma Rajabu.