https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TIGO YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YA KASI ZAIDI 4G LTE LEO MAENEO YA MASAKI NA MLIMANI CITY‏


    Muonekano katika duka la tigo mlimani city ambapo wateja walishuhudia jinsi gani mtandao huu wa kasi wa intaneti unavyofanya kazi kwa kuona matukio laivu kwa kutumia mtandao wa intaneti Kampuni ya simu Tigo Tanzania leo imezindua teknolojia mpya ijulikanayo kama 4G LTE ambayo utaifanya kuwa  mtandao wa intaneti wenye kasi zaidi kuliko yote nchini Tanzania 
    wafanyakazi wa tigo ,wageni waaalikwa na wasanii maarufu wa Bongo fleva wakifuatilia matukio yanayoendelea katika uzinduzi wa teknolojia hii ya kasi zaidi ya mtandao wa intaneti ya 4G lte toka kampuni ya tigo


    Baadhi ya wamiliki wa mitandao ya kijamii na baadhi ya wafanyakazi wa  tigo wakiwa katika picha ya Pamoja 

    Msanii wa bongo fleva Fid q  akijadili jambo na MC wa hafla hii ya kuzindua intaneti ya kasi kwa teknolojia ya 4g lte 
    washereheshaji wa hafla hii ya kuzindua intaneti ya kasi zaidi nchini toka tigo hapa mliman city 
    wafanyakazi toka kampuni ya huawei wakipozi katika uzinduzi wa intaneti ya kasi zaidi nchini kwa teknolojia mpya ya 4G lte toka Tigo pekee
    Baadhi ya wafanyakazi wa tigo na wageni waaalikwa wakishuhudia uzinduzi wa intaneti ya kasi zaidi nchini kwa kutumia teknolojia mpya ya 4G LTE toka tigo pekee
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: TIGO YAZINDUA HUDUMA YA INTANETI YA KASI ZAIDI 4G LTE LEO MAENEO YA MASAKI NA MLIMANI CITY‏ Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top