https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MAJENERALI WA JESHI LA BURUNDI WAMEMPINDUA RAIS PIERRE NKURUZINZA

    Majenerali wa Jeshi la Burundi wamempindua rais Pierre Nkuruzinza, huku taifa hilo likiendelea kuwa na machafuko kutokana na uamuzi wake wa kutaka kuwania urais kwa muhula wa tatu.

    Meja Jenerali Godefroid Niyombareh amesema kamati ya taifa ya kulikomboa taifa hilo imeundwa ili kuiongoza nchi hiyo.

    Hata hivyo haijafahamika mara moja iwapo Meja Jenerali Niyombraeh anaungwa mkono kwa kiasi gani na maafisa wengine wa jeshi.

    Rais Nkuruzinza ambaye yupo nchini Tanzania ingawa hajaonekana katika mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika Mashariki unaojadili mgogoro wa nchi yake. Msaidizi wake ameelezea mapinduzi hayo kuwa ni mzaha.
    You might also like:
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MAJENERALI WA JESHI LA BURUNDI WAMEMPINDUA RAIS PIERRE NKURUZINZA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top