https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MUUGUZI ALIYEBAKWA INDIA AFARIKI DUNIA BAADA YA MIAKA 42 AKIWA HAJITAMBUI

    Muuguzi wa kike nchini India ambaye ameishi kwa miaka 42 akiwa katika hali ya umahututi baada ya kubakwa na kukabwa koo amefariki dunia.

    Muuguzi huyo Aruna Shanbaug alipatwa na madhara makubwa ya ubongo na kupooza mwili baada ya shambulio hilo la kubakwa lililofanywa mwaka 1973, na mhudumu wa wodini katika hospitali ya Mumbai aliyokuwa akifanyakazi.

    Kwa kipindi chote cha miaka 42, Shanbaung alikuwa analishwa kwa kutumia mpira wa puani, lakini katika siku sita zilizopita alipatwa na nimonia, na baadae kupoteza maisha.
    Tukio lake liliibua mjadala mzito wa kisheria mahakamani, na mahakama ya juu ya India ilikataa ombi la kuruhusu aondolewe uhai.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: MUUGUZI ALIYEBAKWA INDIA AFARIKI DUNIA BAADA YA MIAKA 42 AKIWA HAJITAMBUI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top