Wazirti Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh.
Edward Lowassa, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini, kisiwani
Unguja, Zanzibar, Borafia Silima Juma, (kulia), na aliyekuwa Mbunge wa Bunge
Maalum la Katiba, Simai Mohammed Jumamosi usiku Juni 6, 2015 mara baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar. Mh. Lowassa, yuko Zanzibar kutafuta wana CCM wa
kumdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais wa
Tanzania kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, 2015
|