https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HII KARIBUNI



    Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akizungumza katika mkutano huo uliowashirikisha wakuu wa wilaya,kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,maafisa ardhi ,madiwani pamoja na wananchi wa kawaida.
    Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiteta jambo na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama katika mkutano huo. 
    Baadhi ya viongozi pamoja na watumishi wengine walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidss Gama akizungumza katika mkutano huo.
    Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo,Anthony Tesha akitoa taarifa juu ya kiwanja kilichotolewa kwa waweezaji na halmashauri hiyo kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha saruji.
    Mkurugenzi wa Halamshauri ya wilaya ya Moshi,Fulgence Mponji akitoa ufafanuz juu ya mgogoro wa kiwanja kinachomilikiwa naaliyekuwa mbunge wa jimbo la Vunjo ,Aloyce Kimaro.
    Baadhi ya Madiwani wa Halamshauri ya manispaa ya Moshi wakiongozwa na Naibu Meya ,Dkt Mbando,PeterKimaro pamoja na Raymond Mboya.
    Mkuu wa wilaya ya Siha,Dk Charles Mlingwa (kushoto) akiwa na mkuu wa wilaya ya Mwanga Shahibu Ndemanga (katikati) pamoja na Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,Koka Moita wakiwa katika mkutano huo.
    Wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia mkutano huo.
    Naibu waziri a Ardhi ,Nyumbana Maendeleo na Makazi,Angela Kairuki akiongozana na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama wakati  alipowasili Kilimanaro kwa ajili ya tuhuma dhidi ya mkuu huyo wa mkoa pamoja na migogoro ya ardhi.
    Na Dixon Buagaga wa Globu ya Jamii Knada ya Kaskazini.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI,ANGELA KAIRUKI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA MKOA WA KILIMANJARO JUU YA TUHUMA MBALIMBALI ZA ARDHI ZILIZOIBULIWA BUNGENI HII KARIBUNI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top