https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Shambulio la kigaidi katika hotel ya kitalii Tunisia ipo kwenye headlines tena..

    tero
    Ikiwa ni miezi miwili tangu kutokea kwa shambulio la wanamgambo wa kiislamu katika mji wa Bardo, Tunisia, headlines zimerudi tena nchini humo baada ya shambulio lingine kutokea saa chache zilizopita katika moja ya hoteli za kitalii pwani ya Tunisia na kusababisha vifo vya watu 27.
    marhaba
    Maafisa wa Serikali ya Tunisia wamesema tayari mmoja wa washambuliaji hao aliuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa ulinzi  huku wengine wakiendelea kusakwa.
    Shambulio hilo lilitokea katika mji wa Sousse, sehemu ambayo ni maarufu na watalii wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani hupendelea kutembelea.
    tete
    Waziri wa mambo ya ndani ya nchi hiyo amesema kuna watu wengine sita wamejeruhiwa katika shambulio hilo na jeshi la ulinzi linaendelea kuwatafuta wahusika.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments
    Item Reviewed: Shambulio la kigaidi katika hotel ya kitalii Tunisia ipo kwenye headlines tena.. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top