Jack Wilshere, Alex Oxlade-Chamberlain na Per Mertesacker wako fiti na leo wameungana na wachezaji wengine wa Arsenal kwenye mazoezi ambayo yameongozwa na kocha mkuu wa kikosi hicho Arsene Wenger wakati ‘washika bunduki’ hao wakianza mazoezi yao leo kwa mara ya kwanza kwenye uwanja wao wa mazoezi wa Colney, London kabla hawajatimkia Singapore kwa ziara ya maandalizi zaisi (pre-season tour).
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment