Katikati ya Moshi Town nako kuna hizi nyumba za udongo zilizobakia… (Pichaz)
Moshi ina sifa zake na ubora wake kabisa ambao East Africa inaujua… huo ni mmoja ya Miji ambayo imeendelea na inakua kwa kasi nzuri kila siku, mbali ya sifa ya usafi Moshi inavutia kwa majengo mazuri na ya kisasa ambayo yanaongezeka kila siku.
0 comments:
Post a Comment