Miss Tanzania mwaka 2006 na mwigizaji maarufu, Wema Sepetu ameshindwa kwenye kura za maoni za kugombea Ubunge wa Viti Maalumu kwa tiketi ya CCM, Mkoani Singida
-Amepata kura 90, mshindi Aysharose Mattembe amepata kura 311
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
0 comments:
Post a Comment