https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BREAKING NWZZ: AJALI MBILI ZATOKEA WILAYA YA BAGAMOYO, PWANI

    Mwonekano wa mbele wa gari hilo.
    Lori la Scania T 986 likiwa limeanguka mbele kidogo  ya eneo la Msata, barabara ya kuelekea Tanga na Arusha.
    Wananchi wakitazama gari la Fuso lililoanguka likiwa na shehena ya makreti ya bia.
    Taswira ya Fuso hilo likiwa limeanguka.
    Hapa ni makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo.
    MAGARI mawili jana yalipata ajali katika Wilaya ya Bagamoyo, Pwani ikiwa ni gari aina ya Scania T 986 ASG lililoanguka eneo la Msata na gari la aina ya Fuso T 945 BHZ lilioloanguka maeneo ya makutano ya barabara ya Kiwangwa na Bagamoyo baada ya kufeli kukata kona likiwa limebeba kreti za bia.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BREAKING NWZZ: AJALI MBILI ZATOKEA WILAYA YA BAGAMOYO, PWANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top