https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BREAKING NWZZZ:Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha CUF.-Amesema misingi ya uanzishaji UKAWA imekiukwa

    Name:  Lupumba.jpg
Views: 1663
Size:  49.1 KB

    Prof. Lipumba akiongea na waandishi wa Habari kwenye Hoteli ya Peacock

    Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha Wananchi CUF.

    Ametangaza kuachia ngazi uenyekiti wa chama hicho mapema leo, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Peacok.

    Amesema amechukua uamuzi huo kutokana na UKAWA kushindwa kusimamia makubaliano yao.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BREAKING NWZZZ:Prof. Ibrahim Lipumba ametangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti kwenye chama chake cha CUF.-Amesema misingi ya uanzishaji UKAWA imekiukwa Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top