Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli
akimjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas
Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za
maandalizi ya Kampeni hivi karibuni,Mh Kapunga amelazwa kwenye chumba
maalum cha wagonjwa mahututi
(ICU) katika hospitali ya Rufaa mjini humo.
Mmoja
wa Wauguzi walioko kwenye chumba maalum cha wagonjwa mahututi
(ICU),akimpa maelezo mafupi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli
alipokwenda kumjulia hali n kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya
Mh.Athanas Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa
mbio za maandalizi ya Kampeni hivi karibuni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya Wauguzi walioko katika chumba maalum cha
wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Rufaa Mbeya,mara baada ya
kumjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas
Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za
maandalizi ya Kampeni hivi karibuni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mke wa Meya Mama Kapinga mara baada ya kutoka
kumjulia hali na kumpa pole aliyekuwa Meya wa jiji la Mbeya Mh.Athanas
Kapunga aliyepata ajali wilayani Momba mkoani Mbeya wakati wa mbio za
maandalizi ya Kampeni hivi karibuni.
PICHA NA MICHUZI JR-MBEYA
0 comments:
Post a Comment