Daa..! Aisee nimekumbuka busara za muasisi wa taifa hili sana. Mzee
Mandela nae alikuwa na busara sana na haiba ya mazungumzo, ila tayari
majina ya Mwalimu na Mandela nimesha ya andika kwenye kitabu changu
cha watu waliojaliwa utu na kuheshimu demokrasia. Hivi soka nalo lina
busara au Malofa? Teh teh teh teh.. bila shaka umejibu lina Malofa,
kwa kuwa mimi sijui maana ya Malofa inayokusudiwa ngoja niwaachie nyie
ili mimi niendelee kutafuta busara na haiba ya mazungumzo hasa katika
ukurasa huu ambao unasomwa na wanasoka kutoka kila kona ya dunia.

Usajili bado unaumiza vichwa vya timu kibao za Ulaya hasa kutokana na
kuanza kwa ligi na kuona mapungufu kibao kwenye vikosi vyao. Kutokana
na hali hii, usishangae kuona baadhi ya sajili zikakamilishwa muda
wowote kuanzia sasa. Jambo hili limenifanya nijaribu kupitia pitia
baadhi ya mitandao ya Ulaya na kugundua baadhi ya sajili ambazo
usishangae kuziona zimekamilika muda wowote kabla ya dirisha kufungwa.
Hapa chini ni baadhi ya watu wanaotajwa kusajiliwa muda wowote kuanzia
sasa kabla ya dirisha kufungwa… Ungana nami hadi mwisho, karibu
sana,

MARIO BALOTELLI- LIVERPOOL KWENDA AC MILAN
Mario ameshindwa kabisa kupata nafasi Anfield. Kutokana na kushindwa
kufunga, yeye kama Mshambuliaji hana muda mwingine zaidi ya kwenda
kutafuta maisha nyumbani kwao Italia. Japokuwa alisajiliwa kwa £16
kutoka Milan, ila kwa sasa amekwenda kwa mkopo AC Milan kwani
kulikuwa na kipengele kilichokuwa kinamruhusu kwenye mkataba wake kufanya hivyo. Timu
zingine kama Sampdoria, Lazio na Fiorentina zilitajwa pia kumchukua
kwa mkopo Mshambuliaji huyu mwenye asili ya Ghana.

JOHN STONES-EVERTON KWENDA CHELSEA
Kutokana na Mourinho kumkosa kabisa beki wa kati, Stones lazima atue
Chelsea kwa dau lolote. £34 Milion, £40 milioni au zaidi zinaweza
kutumika kutokana na kiwango kibovu cha mabeki wa kati wa Chelsea.
Everton wameonekana kugoma ila Stones ameshaanza kuwasumbua ili
wamruhusu aondoke kwenda Darajani.

VICTOR WANYAMA-SOUTHAMPTON KWENDA SPURS
Mkenya huyu amekuwa kivutio sana pale White Hart Lane, ila bado ana
miaka miwili ya kucheza Saint Marry. Saint wasipomuuza sasa, watakuja
kumuachia kwa bei ndogo sana kama watamuuza badae. Nathaniel Clyne
alienda Anfield kwa bei ya
kawaida kutokana na mkataba wake kuwa ukingoni, nazani Saint
hawatakuwa tayari kuona hayo yanatokea tena kwa Wanyama. Kuna habari
za uhakika ambazo ni za chini chini kwamba muda wowote Wanyama
atakwenda London kufanya vipimo vya afya.
LUCAS-LIVERPOOL KWENDA BESIKTAS
Lucas ni kiungo mzuri japokuwa ameshindwa kupata nafasi ya kudumu
kwenye kikosi cha Brendan Rodgers. Kutokana na kuhitaji kuonekana,
Lucas amekuwa akisubiri ofa ya Besiktas kwa miezi kadhaa sasa.
Inawezekana akasajiliwa kwa mkopo kwenda kucheza ligi ya Uturuki
ambayo imeonekana kupokea ‘Makapi’ kutoka Epl mara kwa mara.

ALEX SONG-BARCELONA KWENDA WEST HAM
Kiungo huyu matata mwenye miaka 27 hana nafasi tena Camp Nou hasa
kutokana na usajili walioufanya Barcelona msimu huu. Japokuwa
aliondoka Barca kwa mkopo ila West Ham wana kila sababu ya kumsainisha
hasa kutokana na umuhimu wake kwenye
kikosi cha West Ham. The Hammer wana muhitaji sana Song kwani amekuwa
akii-onganisha timu na hata kufikia hatua ya kupewa kitambaa cha
unahodha. Barcelona wana mawili sasa, kumuacha abaki kwa mkopo au
kumuuza kabisa kama wanavyoitaji West Ham.

West Ham wamekuwa wakimuhitaji tangu msimu uliopita Mshambuliaji huyu.
Kutokana na West Ham kuwa wapinzani wa Spurs kwenye mbio za kuwania
kucheza Europe League, Spurs walikataa kumuachia Adebayor msimu
uliopita. Stoke, Aston Villa, Qpr na Crystal Palace pia wametajwa sana
kumchukua Adebayor ila West Ham ndo wana nafasi kubwa ya kumchukua kwa
mkopo Adebayor. Mwenyekiti wa Spurs, Daniel Levy yupo tayari kusaidia
£100, 000 kama mshahara wa wiki kwa timu yoyote itakayomchukua
Adebayor

KEVIN DE BRUYNE-WOLFSBURG KWENDA MANCHESTER CITY
Huyu Bwana mdogo amekuwa akizungumzwa pengine kuliko mchezaji yeyote
anayetarajiwa kusajiliwa kwa kipindi hiki kifupi kilichobaki.
Wajerumani wanahitaji zaidi ya £57 Millioni ili kumuachia Kevin,
kiungo mshambuliaji ambaye alionekana mpuuzi pale Darajani. Muda
wowote kuanzia sasa usishangae usajili huu kukamilika kwa pesa yoyote.

SAIDO BERAHINO- WEST BROM KWENDA SPURS
Kiungo huyu amekuwa akihitajika sana kwenda White Hart Lane kwa kitita
cha £25 Millioni. Bila shaka usajili huu utakamilika muda wowote hasa
kutokana na Berahino kutoonekana kwenye mechi dhidi ya Chelsea.
Kukosekana kwake kunahusishwa sana na uhamisho wake wa chini chini
kwenda London. Spurs wamekuwa wakihitaji viungo wanaocheza kama
Berahino.

Salym Juma

0 comments:
Post a Comment