https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SIASA Ridhiwani Kikwete kaiweka hii video ya Lowassa na kuandika haya maneno.

    Lowassa 1Hii ni post ya Ridhiwani Kikwete kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliiweka hii video ya Edward Lowassa na kuandika Raha ya mja kunena, kwa muungwana ni vitendo ushahidi tosha kuwa mgombea wa CCM anakubalika na ni bora kwa kazi’
    Kwenye page yake ya Instagram aliweka video hiihii akaandika Ni thawabu pia kutoa sifa na ni dhambi kutokubali mema yanapofanyika, hongera sana mgombea kwa kuyaona mazuri yatendekayo na mtendaji wa hayo, ‪#Magufuli2015#‎MzikiwaMagufuliUtauweza?
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SIASA Ridhiwani Kikwete kaiweka hii video ya Lowassa na kuandika haya maneno. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top