https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    SIMBA YATAMBULISHA WAKALI WAKE WAPYA KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI

    Mussa Hassan Mgosi
    Mussa Hassan Mgosi
    ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba leo imewametambulisha wanandinga wake wapya ambao imewasajiliwa kwa ajili ya msimu ujao. Wachezaji hao wametambulishwa leo mbele ya mashabiki wao kabla ya kupigwa kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya SC Villa ya Uganda ambapo Simba wameshinda mchezo huo kwa goli 1-0.
    Hawa ni miongoni mwa wachezaji ambao wametambulishwa leo ikiwa ni kilele cha maadhimisho ya siku ya ‘Simba Day’ ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Agosti 8.
    Peter Mwalyanzi
    Peter Mwalyanzi
    Emery Nimubona
    Emery Nimubona
    Vicent Angban
    Vicent Angban
    Hamis Kiiza
    Hamis Kiiza
    Mwinyi Kazimoto
    Mwinyi Kazimoto 
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: SIMBA YATAMBULISHA WAKALI WAKE WAPYA KUELEKEA MSIMU MPYA WA LIGI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top