Mtandao mmoja umefanya takwimu ya tofauti sana kutengeneza kikosi bora cha wachezaji ambao wanaongoza kwa kukaa nje ya uwanja kwasababu ya kuumia.
Kikosi hiki kimepangwa kutokana na nafasi wanazocheza na kutambua siku ngapi wamekaa nje ya uwanja. Wachezaji wa Arsenal Theo Walcott,Tomas Rosicky na mchezaji aliechiwa hivi karibuni Abou Diaby wapo kwenye hii timu.


0 comments:
Post a Comment