https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Uliipata hii ya David James kupewa adhabu na kocha ya kuendesha gari ya matairi matatu? kilichofuata….

    Wazungu wana vitu vingi sana vya kushangaza tofauti na sisi kwetu Afrika, wapo wazazi wa kizungu wana tabia ya kutumia mfumo wa kidemokrasia ili kumkanya mtoto. Katika mpira wa miguu kocha ni kama baba katika timu anapaswa kusikilizwa.
    article-1085467-02760DA7000005DC-631_468x302
    Hii ni stori ya nyuma kidogo iliwahi kuandikwa mwezi August mwaka 2013 na mtandao watsmplug.com, kocha wa zamani wa klabu ya Portsmouth ya Uingereza Tony Adams, aliwahi kumpa adhabu golikipa wa timu hiyo David James ya kuendesha gari ya matairi matatu kwa sababu hakuwa akifanya vizuri mazoezini.
    article-1085467-02760891000005DC-480_468x265
    Hapa ilikuwa kabla ya David James kulifanyia matengenezo
    Baada ya kumpa adhabu hiyo, James alikubali kuitumia gari hiyo ya matairi matatu cha kushangaza baada ya kuondoka nayo akaenda kuifanyia matengenezo na kuifanya iwe ya matairi matano licha ya kuwa Tony Adams alimpa gari hiyo kama adhabu kwake.
    a
    Baada ya kulifanyia matengenezo
    David-James-Robin-Reliant1-500x678
    stori kwa mujibu wa tsmplug.com
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Uliipata hii ya David James kupewa adhabu na kocha ya kuendesha gari ya matairi matatu? kilichofuata…. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top