Mshambuliaji
wa Barcelona, Neymar akikokota mpira dhidi ya mchezaji wa Sevilla,
Timothee Kolodziejczak katika mchezo wa La Liga jioni ya leo. Sevilla
imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Michael Krohn-Dehli dakika ya 52
na Vicente Iborra dakika ya 58, huku Neymar akiifungia Barca la kufutia
machozi dakika ya 74 kwa penalti. Barcelona inamkosa kinara wake wa
mabao, Lionel Messi ambaye ni majeruhi kwa sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment