
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Fredrick Sumaye wakiwasili katika viwanja vya Barafu Mto wa Mbu leo Ijumaa 2/10/201




Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia UKAWA, Edward Lowassa, katika Uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, Jimbo la Monduli leo Oktoba 2/10/2015




Akimnadi mgombea ubunge jimbi la monduli ndugu
Julius Kalanga

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akitakiwa baraka na mafanikio na wazee wa Kimaasai wa Mto Wa Mbu leo Ijumaa 2/10/2015




0 comments:
Post a Comment