Home > Untagged Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi afariki dunia Mwenyekiti wa NLD, Emmanuel Makaidi afariki dunia Dk. Emmanuel Makaidi enzi za uhai wake. MWENYEKITI Mwenza wa Ukawa na Mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi amefariki dunia leo mchana kwa shinikizo la damu akiwa Hospitali ya Nyangao mkoani Lindi. 16:37:00
0 comments:
Post a Comment