Jana
Chelsea ilifungwa goli 3-1 na Southampton kwenye mchezo wake wa ligi
kuu England ikiwa ni mchezo wake wa nne kufungwa kati ya michezo nane ya
kwanza iliyocheza mpaka sasa.
Mara ya mwisho Chelsea kufungwa
mechi nne kati ya nane za kwanza tangu ligi ianze ilikuwa ni msimu wa
1978-1979 ambapo timu hiyo ilishuka daraja.
Angalia picha ya msimamo wa msimu wa mwaka 1978/79 ili uone nafasi ambayo Chelsea ilimaliza kwenye msimu huo.
0 comments:
Post a Comment