Mbunge wa Chalinze, Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ,kwa niaba ya familia yake ametoa tamko zito kupinga tuhuma mbalimbali zinaozoelekezwa kwake na familia yake.
Akizungumza
na waandishi wa habari Dar es Salaam Jana,Ridhiwani alisema baada ya
Rais Kikwete kumaliza muda wa miaka 10 madarakani, baadhi ya watu
wamekuwa wakiiandama familia yao kwa tuhuma mbalimbali.
0 comments:
Post a Comment