https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    BALOZI WA NORWAY HAPA NCHINI AWATUNUKU WAHITIMU CHUO CHA UFUNDI ARUSHA


    Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha(ATC)akiwatunuku Vyeti,Stashahada na Shahada wahitimu katika fani za Uandisi Umwagiliaji,Umeme,Ujenzi,Mawasiliano Anga ,Mitambo na Kompyuta Januari 16,2016.
    Baadhi ya wahitimu wa fani ya Uandisi Mitambo wakifurahia mara baada ya kutunukiwa Stashahada zao
    Wahitimu wakifatilia kwa makini hotuba mbalimbali
    Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad ambaye alikua mgeni rasmi katika Mahafali ya Saba ya Chuo chaUfundi Arusha(ATC) akiwa katika picha ya pamoja na wanachuo wanaobaki.
    Balozi wa Norway nchini Tanzania,Hanne -Marie Kaarstad (kulia)akipokea zawadi kutoka idara ya Uandisi Madini .
    Balozi Hanne -Marie Kaarstad akifurahia kazi za wanachuo alipotembelea maonesho yaliyoandaliwa kwaajili yake.
    Wanachuo wanaobaki walionegesha mahafari hayo kwa bendera za kuvutia
    Balozi Hanne -Marie Kaarstad na Mkuu wa Chuo hicho,Dk Richard Massika aliyevaa tai nyekundu wakipata maelezo kwenye idara ya Umwagiliaji .
    Furaha ya kuhitimu ilitawala
    Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Massika(kulia)akifafanua jambo kwa mgeni rasmi.
    Balozi wa Norway ,Hanne -Marie Kaarstad (wa pili kushoto mbele)akiwa na wageni mbalimbali na Wakuu wa Idara mbalimbali za Chuo katika picha ya pamoja.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: BALOZI WA NORWAY HAPA NCHINI AWATUNUKU WAHITIMU CHUO CHA UFUNDI ARUSHA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top