https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MILIPUKO YA MABOMU YAUWA WATU 31 NA KUJERUHI 81 JIJINI BRUSSELS


    Watu 31 wamekufa na wengine wengi kujeruhiwa vibaya katika mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa na kwenye stesheni ya treni Jini Brussels.

    Mabomu mawili yalilipuka kwenye uwanja wa Zaventem na kuuwa watu 11 na kujeruhi wengine 81, Waziri wa Afya wa Ubelgijia amesema.

    Mlipuko mwingine ulitokea kwenye stesheni ya treni ya metro baada ya saa moja baadaye na kuuwa watu 20, meya wa Brussels amesema.
                                  Mtu aliyejeruhiwa na mlipuko wa bomu akiwa amelala chini 
                      Watoa huduma ya kwanza wakiwa wanatoa huduma kwa majeruhi 

    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MILIPUKO YA MABOMU YAUWA WATU 31 NA KUJERUHI 81 JIJINI BRUSSELS Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top