https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MWANAMKE APIGWA BAKORA HADHARANI INDONESIA KWA KUFANYA ZINAA


    Mwanamke mmoja ameadhibiwa kwa kupigwa bakora mgongoni hadharani nchini Indonesia, kutokana na kubainika kufanya zinaa nje kabla ya ndoa.

    Mwanamke huyo kijana aliwekwa juu ya jukwaa mbele ya umma huko Banda Aceh na kulazimishwa kupiga magoti na kuchapwa bakora hizo mgongoni hadi akaishiwa nguvu.
                    Mtu aliyejifunika uso akimchapa bakora mwanamke anayedaiwa kuzini 
                              Mwanamke huyo akiondolewa kwenye machela baada ya kuzidiwa
                         Mwanaume aliyezini naye akipigwa bakora za mgongoni kwa kosa hilo 


    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MWANAMKE APIGWA BAKORA HADHARANI INDONESIA KWA KUFANYA ZINAA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top