Nyota wa soka Neymar amekuwa kivutio wakati wa mazoezi ya kambi ya Brazil, akijiandaa kukabiliana na mchezaji mwenzake wa Barcelona, Luis Suarez katika mchezo wa kimataifa.
Nyota huyo wa Brazil alionekana kujifua kuongeza kasi jana kuelekea mchezo wao mgumu wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia dhidi ya Uruguay siku ya kesho huko Recife.
Neymar akipasua katikati ya wachezaji wenzake wa Brazil
Neymar akibadilishana mawazo na Kocha Dunga





0 comments:
Post a Comment