Kocha
Wenger amempa lawama mchezaji wake Francis Conquelin kwa kupata kadi
nyekundu ambapo anasema alii-cost club yake. Kabla ya kadi nyekundu hiyo
Arsenal walikua wanatawala mchezo na kuongoza kwa goli moja bila.
Arsene
Wenger anasema kwamba wakati wa mapumziko walimpa onyo mchezaji huyo kwa
uchezaji wake ikiwa tayari ana kadi ya njano. Kipindi cha pili alicheza
rafu nyingine na kupewa kadi ya nyekundu. Wenger anasema amekua
dissapointed na kadi aliyopewa mchezaji wake ambapo imepunguza nguvu ya
team nzima.
Sio
Wenger peke yake lakini hadi mashabiki kwenye mitandao wameonyeshwa
kuchukuia kwa kadi nyekundu ile ambayo amepewa mchezaji huyo.
Baada ya
kadi hiyo dakika ya 55, Spurs waliongoza mchezo huo na kufunga magoli
mawili ndani ya dakika 2 kabla ya Sanchez kuja kusawazisha dakika ya 76.
Hadi sasa Arsenal wana points 52 na mechi 29 wakati Leicester City wapo
nafasi ya kwanza wanaongoza kwa points 57 na michezo 28.
0 comments:
Post a Comment