Makumi ya wahamiaji wa Kiafrika wameripotiwa kufa maji baada ya boti iliyokuwa na wahamiaji 400 kuzama katika bahari ya Mediterranean.
Wengi wa wahamiaji hao 400 waliokuwemo kwenye boti hiyo wanatokea Somalia, Ethiopia pamoja na Eritrea na walikuwa wanaelekea nchini Italia.
Vyombo vya habari nchini Somalia vimesema waokoaji wamefanikiwa kuokoa watu 29 tu kutoka baharini katika tukio hilo la kushtua.
Mmoja wa wahamiaji akiwa ananing'inia kwenye nanga ya meli
0 comments:
Post a Comment