Watu kadhaa wamekufa na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika shambulizi la bomu la kutumia silaha lililofanywa katika wilaya tajiri ya Jiji la Kabul nchini Afghanistan.
Picha zimeonyesha majengo yaliyolipuliwa yakiwa na moshi mzito unaoelekea anagani, baada ya kutokea kwa shambulizi hilo ambalo kundi la Taliban limekiri kuhusika nalo.
Rais Ashraf Ghani ameshutumu vikali shambulizi hilo lililofanyika baada ya wiki chache tu tangu kikundi cha wapiganaji wa taliban kutangaza kuanza mashambulizi ya kikagidi kwa kasi.
Wanajeshi wakiwa katika eneo la tukio kutoa msaada
Mtu aliyejeruhiwa akipatiwa matibabu hospitalini
Yo
0 comments:
Post a Comment