https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    TETEMEKO KUBWA LAUWA WATU 41 NCHINI ECUADOR


    Tetemeko lenye nguvu kubwa lililofikia kipimo cha alama 7.8 limeuwa watu 41 nchini Ecuador, Makamu wa rais wa nchi hiyo, Jorge Glas amesema.

    Tetemeko hilo limetokea jana karibu na mji wa pwani ya kusini wa Muisne, na kusababisha madhara makubwa katika maeneo mengi.

    Hali ya hatari imetangazwa katika mikoa sita na jeshi la kulinda taifa limeitwa kusaidia zoezi la uokoaji.
                  Waokoaji wakiwa juu ya vifusi wakijaribu kutafuta watu waliofukiwa
                                                    Vikosi vya uokoaji vikiendelea na zoezi la uokoaji
    Wagonjwa na ndugu zao wakiwa nje ya Kliniki ya Colombia baada ya kutakiwa kutoka nje kufuatia tetemeko hilo
    Watu wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya tetemeko kuleta madhara makubwa
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TETEMEKO KUBWA LAUWA WATU 41 NCHINI ECUADOR Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top