https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Tukio lililotokea mechi ya Real Madrid Vs Man City huenda hukuliona..(Video)

    Kocha Mkuu wa Real Madrid Zinedine Zidane alikutana na majanga akiwa kazini baada ya suruali yake kuchanika kwa kiwango kikubwa hadi kupelekea nguo yake ya ndani kuonekana.
    Nguo hiyo ilichanika wakati Zidane akiwa katika benchi akijaribu kuwaeleza vijana wake . Sasa ile rusha miguu, rusha mkono mara suruali ikachanika .  Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliisha Sare huku Real Madrid wakitawala zaidi mchezo huo.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Tukio lililotokea mechi ya Real Madrid Vs Man City huenda hukuliona..(Video) Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top