Kiungo Yannick Carrasco akimpiga busu mpenzi wake, mwanamitindo na Miss Ubelgiji, Noemie Happart baada ya kuifungia bao la kusawazisha Atletico Madrid katika sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 dhidi ya mahasimu, Real Madrid kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa San Siro. Hata hivyo, Atletico walifungwa kwa penalti 5-3
Carrasco was able to share his moment in the limelight at the San Siro with his model girlfriend



0 comments:
Post a Comment