https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    Jengo La NSSF La Eneo La Akiba Lawaka Moto

    Jengo lililoko eneo la akiba posta jijini Dar es salaam limeripotiwa kuwaka moto kuanzia majira ya jioni na chanzo cha moto huo kinasemekana ni mtungi wa gesi kulipuka na kusababisha moto.

    Inasemekana hakuna madhara makubwa kutokana na zimamoto kufika kwa wakati katika eneo la tukio.  
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Jengo La NSSF La Eneo La Akiba Lawaka Moto Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top