https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania


.

.

.
  • Latest News

    .

    MIX Picha10: Mazishi ya Miili ya watu watano waliokatwakatwa mapanga, Sengerema Mwanza.

    Usiku wa kuamkia May 11, 2016, kuna taarifa ya kusikitisha kutokea Sengerema Mwanza, ni tukio la mauji ya kukatwakatwa mapanga familia ya watu saba kwenye familia moja wawili wakiwa wafanyakazi wa hiyo familia, ripoti iliyonifikia leo miili ya watuwatano wafamilia moja wamezikiwa kijiji cha Sima Sengerema na wawili wamesafirishwa kwenda Ngara Mkoa wa Kagera.
    Image00004
    Image00001
    Askofu Mussa Magwesela.
    Image00003
    Hili ndio eneo la Makaburi ya Miili ya Marehemu watano.
    Image00002
    Zainabu Telack, Mkuu wa Wilaya Sengerema.
    Image00005
    Image00001
    Mtoto wa Marehemu, Kwitega Daniel.
    Image00007
    Image00008
    Image00009
    Mwakilishi wa Mgodi wa Geita Gold Mine.
    https://play.google.com/store/apps/details?id=com.blog.ya.watanzania

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MIX Picha10: Mazishi ya Miili ya watu watano waliokatwakatwa mapanga, Sengerema Mwanza. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top